Podcasturi
Enjeux de société
Sweeping raids leave Turkey’s LGBTQI+ community fearing what comes next
10:00
Swahili (generic)
Podcasturi
2026
Tangu mwanzoni mwa wiki hii, video za mwanahabari Hariana Veras, zimeenea mitandaoni, haswa baada ya ripoti zake kuhusu uhasama kati ya DRC na Rwanda, pia kuhusu juhudi za amani zinazoongozwa na Marekani.
Moja ya video ambayo imeenea ikisema amechagua pesa dhidi ya maadili ya uanahabari.
Tumechunguza na video, ni mchezo wa kuigizwa unaondeshwa na AI wa ripoti ya kweli ya habari kutoka Februari 7, 2026, lakini sauti imebadilishwa na hati ya kejeli kuhusu kuchagua pesa badala ya maadili.
13 februarie 2026
Swahili (generic)
9 Mo