Podcasturi
Enjeux de société
Sweeping raids leave Turkey’s LGBTQI+ community fearing what comes next
9:57
Swahili (generic)
Podcasturi
2026
Mwezi Juni ni mwezi wa kutoa uhamasisho kuhusu afya ya akili miongoni mwa wanaume ,swala la afya ambalo hupuuzwa mno
Daktari Dominic Osiemo anasema wanaume wana haki wa kuonesha hisia ,kueleza maumivu yao na kutaka kuskizwa. Na wanapofanya hivyo wanalinda afya zao za akili.
Anaonya wanaume wengi wanakuwa hatarini kwa sababu wanajaribu kudhihirishia jamii kuwa wao ni imara siku zote.
Baadhi ya vipimo muhimu kwa wanaume ni kipimo cha kiwango cha sukari ,kipimo cha tezi dume na shinikizo la damu.
23 iunie 2026
Swahili (generic)
9 Mo