Podcasturi
Enjeux de société
Sweeping raids leave Turkey’s LGBTQI+ community fearing what comes next
10:19
Swahili (generic)
Podcasturi
2026
Kuna ushahidi unaoonesha kwamba kufunga kunaweza kusaidia kurekebisha miili yetu ,wakati mwingine kuongeza maisha yetu, pia njia bora ya kupunguza uzito,
Kitendo cha kukumbatia Saum huchochea usafi wa moyo, nafsi na kusafisha mwili wako kwa kuondoa chakula ambacho mara nyingine hugeuka kuma sumu mwilini na chanzo cha magonjwa yasiyoambukiza.
Wataalam wa afya pamoja na watetezi wa kufunga wanasema kuna uhusiano mkubwa kati ya afya ya kimwili na afya ya kiroho.
Kwenye makala hayo ya Siha Njema tunakupa ufafanuzi huu tukisaidiwa na daktari Julius Maleve na pia kiongozi wa kidini Mtume Julius Suubi ,ambaye ameandika kitabu kuhusu faida za kufunga na ambaye amekuwa akifunga kwa kati ya siku 40 hadi 90 kila mwaka kwa zaidi ya mwaka 20 sasa.
26 ianuarie 2026
Swahili (generic)
9 Mo